Hili zaga la fen za Magari mbalimbalimbali zote mzima zinafanya kazi.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.
Nipe offa yako.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
ziko pcs ngapi?
Pai idadi ni muhimu.
Naomba idadi ni muhimu sana,
Ziko PCS 100.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
100x10,000 nalipia leo boss wangu.
Hutaki ushindani boss wangu?100x10,000 nalipia leo boss wangu.
50x20,000 1ml nalipia leo.
Habari bro kwanza niwapongeze kwa ubunifu wakutuuziabidhaa mbalimbali online zikiwemo spare parts za used na mpya za Magari. kunakitu ningependa kuwashauri baadhi tuna maduka ya spare Dar na mikoani kwanini hii duma ya tuilipie kwanini msije madukani kwetu kutusajili na kutapa access hii bure badala ya kuilipia?
Kama watafanya hivyo nitawaunga mkono pia nitawashawishi wafanya biashara wengi tujiunge na mpangoo tuwe tunanunua spare moja kwa moja Japan.Habari bro kwanza niwapongeze kwa ubunifu wakutuuziabidhaa mbalimbali online zikiwemo spare parts za used na mpya za Magari. kunakitu ningependa kuwashauri baadhi tuna maduka ya spare Dar na mikoani kwanini hii duma ya tuilipie kwanini msije madukani kwetu kutusajili na kutapa access hii bure badala ya kuilipia?
Asante kwa ushauri wako mzuri,nadhan admin ataufanyia kazi.Kunasiku nilimshauri kuhusu wateja kuingia kwenye platform bila kuwazuia kungia badala ya kuweka mipaka nimwambia afunge kila mtu afike hataka hajalipia.Habari bro kwanza niwapongeze kwa ubunifu wakutuuziabidhaa mbalimbali online zikiwemo spare parts za used na mpya za Magari. kunakitu ningependa kuwashauri baadhi tuna maduka ya spare Dar na mikoani kwanini hii duma ya tuilipie kwanini msije madukani kwetu kutusajili na kutapa access hii bure badala ya kuilipia?
Nitakuwa mteja wenu kama mtafanya hivyo.
Mkuu pole na majuku ya kazi ebwana siwasikilize hawa watu wa ilala wanadeka sana i see kilakitu wanataka wasikilize wanataka wapewekipaumbele utafikiri wao vitu gani sijui,acheni ushamba nyie nunue bidhaa au kanunue mnokonunuaga acha kukera watu.
hawa ukiwasikiza utaniambia tunza hii coment hawa lengo lao nikupanga matoke ya bei na hodhi mchakato mzima wa biashaa za online kuwa kama za physically wanaleta ujuaji wakilakitu na kutanguliza uilalaila achane ushamba hapa tuanenda sawa mikoa yote.
Umeona eeh hawa watatatumbua huko mbeleni wanataka kuleta utemi kila sehemu hadi mtandaoni.Mkuu pole na majuku ya kazi ebwana siwasikilize hawa watu wa ilala wanadeka sana i see kilakitu wanataka wasikilize wanataka wapewekipaumbele utafikiri wao vitu gani sijui,acheni ushamba nyie nunue bidhaa au kanunue mnokonunuaga acha kukera watu.
hawa ukiwasikiza utaniambia tunza hii coment hawa lengo lao nikupanga matoke ya bei na hodhi mchakato mzima wa biashaa za online kuwa kama za physically wanaleta ujuaji wakilakitu na kutanguliza uilalaila achane ushamba hapa tuanenda sawa mikoa yote.
30 ipo mkuu.
35 natoa.
Ukitaka kushiriki kwenye online auctions kama hii inabidi ulipie kifurushi cha unlimited bila hicho kifurushi uwezi kufanya biashara yoyote hapa.35 natoa.
Huu mnada wa Fan naufunga leo kwa saa sita usiku kwa saa za Africa Mashariki kama unahitaji Fan njoo leta ofa yako kabla ya saa sita.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Njoo private tuyajenge.Huu mnada wa Fan naufunga leo kwa saa sita usiku kwa saa za Africa Mashariki kama unahitaji Fan njoo leta ofa yako kabla ya saa sita.
@middle-man Niko kwenye Room nimekutumia mwaliko tanguja lakini sikuoni.
Kwani Taratibu zikoje mkuu.
Free members hapa mkuu,mnaturusha nyuma please naomba watu wenye membership tu,wewe hapo huna cha kupoteza unapanda bei kisha utaingia mitini.Kwani Taratibu zikoje mkuu.
mzigo uko vizuri sana.
Hii bei ni pamoja na usafiri na ushuru sio?
Usiku mwema.
Umetiki ✅
Asante sana.
Huu mzigo bado upo?
Mzigo vipi umeondoka?
Natoa 50@moja.