Habari.
Naulizia Toyota Hiace kutoka Japan bei gani kilakutu hadi ushuru?
Toyota Hiace ziko aina nyingi boss, ingekuwa vizuri ungeja mwaka na iana ya Heace nitakupa bei.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
interested
Hii hapana naomba unitafutie Heace za zamani hii new model itakuwa na bei kubwa.
Sawa nakutafutia, Diesel au?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Mkuu nakumbushia habari za majukumu.
@jonson-john Hii ya zamani sana i see spare zake kuzipa ni kazi japo kuwa ni Gari ngumu sana,naomba nitafuti ya Diesel.
Sawa nitakutafutia nyingine.