Habari natafuta hii Engine nitapata niko Lubumbashi Wanatashi.
Habari mzuri. Karibu.
Hii Engine ni mzima,kuhusu bei najinsi ya kufika hapo Lumbumbashi sijui naomba labda @admin atusaidie.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
SAWA.
Tunafanyaje?
Ni makumi ngapi hii?
@jancrod-hafasha manunuzi usafiri hadi Dar utalipilia 2ml,kutoka Dar hadi Lubumbashi sijui gharama zake nafatilia.
Asente lakini Taqwa wametunza vibaya njiani wameumiza sehemu ya juu ikapasuka.