Tuamba bei ya Boat kuanzia grahama za manunu usafiri pamoja na ushuru kwa Zanzibar @Kitengo cha Forodha @Kitengo cha Usafirishaji @Moderator @admin
Weka hata balance kidogo utashawi tujue kuwa uko serious tumechoka na maneno matupu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Mkuu itafute kwanza nitumie picha nitumie bei kisha nitumie invoice nikulipe usafirishe mzigo.
@kambanza Sawa,ngoja nakufanyia kazi yako,week hii naimaliza, kuna sehemu kuna boat wanauza japokua ni mbali na hapa lakini nitajitahidi ndani ya week nitakupa majibu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Sawa nitakukumbusha.
Habari mkuu vipi umepa mzigo au bado?
Hii bado sijapa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿