Notifications
Clear all

Used Japan TUNAUZA SPARE ZA FUSO NA CANTER.

8 Posts
3 Users
0 Reactions
462 Views
0
Topic starter

 

images (2)

Mahitaji ya Spare za Fuso na Canter naomba tuwasili hapa.

 

Pia tunauza Canter na Fuso kutoka Japan, kama unataka huduma ya kutengeza Tandamu pia tunafanya.

 

Karibuni sana wateja,mikoani kote tunatuma tuambie kitu gani utaka ikizekana weka na picha ya spare unatafuta.

Malipo ni kabla ya huduma,tunapokea pesa kwanjia mbili tu.

1. Kwanjia ya Bank au simu kwenye account yetu 

2.Unaweza kulipa Proveder wa hii website pia tutakuhufumia.

Kushare hii page ya huduma zetu tanalipa cash kulingana idadi ya watu wataotufikikiwa.

0
Topic starter

Mtu wakwanza kununua atapata punguzo ya silimia ya 20 ya bei.

0

Mkuu kwema

 

Niko hapa kazi yangu ni kushare page yako boss utalipa bei gani niingie mzigoni?

Rizione Topic starter March 19, 2024 6:28 pm

@zulu Fanya kazi mimi naona hapa Pesa ipo.

Zulu April 16, 2024 9:36 am

kwema mkuu.

Raster April 16, 2024 10:54 am

@zulu kwema

0

Mashida na Exhaust ya Fuso complete na silence yake au mafra yake.

Rizione Topic starter April 16, 2024 9:38 am

@raster Ipo 1ml


Digxam

FREE
VIEW