HabariÂ
Â
kama umeagiza gari lako umekwama ushuru karibu tunayatoa kwa gharama zteu kisha utalipa kidogo kidogo.
Â
Tuko sinza kijiweni.
Habari boss!
Â
hivi nimeagiza Gari langu limefika lakini bado sijapata pesa ya ushuru tunafanya mkuu?
Sijajua ni Gari gani ili nikupe rates zetu zinaendana na ukubwa wa Gari.