Mwenye vifaa vya car washing na vifaa vya kufanya Service za Magari naomba mchanganuo.
Naomba ainisha hivyo vifaa vijulike ni nini na nini nitakupa bei.
Nitakupa list ya vifaa vyote
Naingoja.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Nahitaji water pump ya moja na pipe ndefu og yenye ukubwa wa kawaida sio kubwa sana au ndigo sana.
Gun mbili zote zitumike kwa pamoja yaani zifunge kwenye pump moja.
iwe ya mafuta sio umeme pia kama kuna fiaa Kama air fresh Sabun za kuoshe Magari nitumie picha na bei.
@dickson-asanga sawa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿