Habara wakuu,nimepata habari zenu kwenye mitandao ya kijamii nimefurahi sana kwakujiunga na community hii mpya nashukuru sana kwaubunifu huu Mungu awabariki.
Kwajina na itwa Kalama Asei niko kkoo kwamuda mrefu sana nikifanya biashara za simu used kutoka sehemu mbalimbali duniani nauzoefu wakutosha pia na wateja wakutosha.
Nimelipia kifuru cha membership cha Trusted kama ulivyotoa maelekezo ila sijaona mabadiliko yoyote naomba mniunge tayari nimelipia asubuhi ya leo.
Shida yangu moja nataka simu na vioo vya simu mbalimbali kutoka hapa Japan nitangulize shukurani sana.
Karibu sana Karama kuchagua sehemu sahii ya kununua bidhaa zako bora original kwajili ya wateja wako,tunaomba share hii website kwenye magroup mbalimbali ya wafanya biashara hapo kariakoo ili tupate wateja wengi kutoka pande hizo.
Kuhusu kujiunga na Trusted Membership bado tufanya manually naomba muda nifanye mawasiliano na watu wa dar kisha nitakuunganisha na kifurushi chako,
Simu na Vioo vipi vingi sana naomba muda nikavitafute kisha nitakutumia picha au video
Asante kwakuchagua Digxam karibu sana.