March 9, 2024 9:38 am
Topic starter
Natafuta mtu wakutengeneza logo kwajili ya biashara za ngu.
Nipo hapa nicheki Whatsap xxx xxx xxx au tembelea kuona instagram xxxxxxxxxxxxx kuona kazi zangu zaidi au pitia hii link ambayo itakufanikisha kuona kazi zangu
@yaleke-graphix Unatengeza kwa bei gani? weka nione.
Nashida Lago pia.