Habari waungwana naomba bei ya Rims na Tyari size 14 mzuri
Rims complet utalipia laki sita.
Naomba picha na beiÂ
Bei gani boss na mzigo utaingia lini?
Lipia laki tatu, mzigo kufika sio zaid ya miaezi mitatu.
Naomba utaratibu wakulipia.
Bado nafuu sana