Mwenye baisikeli ya mtumba ya mtoto miaka 5 hadi 6 kutoka Japan au ulaya sio mtumba bongo naomba naomba bei yake.
Habari bosi wangu!
Baiskeli zipo bei yake ni 160,000 bila usafiri.
Mmh 160k mbona parefu sana nataka za mtoto sio mtu mzima.
Nitumie bei na picha
Bei ndi hiyo bosi fanya chap kwa haraka tufanye biashara.
Yakwanza chukua 100k
Kimya tajiri!
Asante boss njoo hapa kkoo kunawatu wengi tunauza baiskeli labda unaweza kupa.
Bei ya kuuza ngapi boss wangu?
Vipi kama bado niambie naiwaunganishe na mtu mwingine mwenye baiskeli za watoto.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Lipia 500k
Naomba moja.