Naomba mnitumie picha au video ya chainsaw ni tofauti tofàuti nichague moja.
Niko Dar Tanzania.
Habari, utapata zipo naomba muda nitakutumia picha,karibu sana!
Nimeoina bei gani hii?
40,000 tsh
Sorry 400,000 tu.
Nahitaji pia hii kitu.
Tatizo watu hamko serious wekeni hata balance ya 30,000 tuchakalike kutafuta hizo vitu.