Notifications
Clear all

PATA OFFA! Gramophone CD zinauzwa

23 Posts
3 Users
0 Reactions
406 Views
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
Topic starter
 

Kwajili ya Santuri aina ya Gramophone  kutoka Japapa,zometunzwa vizuri sana.

 

Mteja lazima awe na membership ili iwe rahisi kupeana namba za simu.

Ziko zaidi ya pcs 12. niko Kinondoni Dar 

 

Namba yangu ya simu ni xxxxxxxxxx

i img600x500 17097276101bisao27999
i img600x642 1709727610ygdfpq27999

 

 
Posted : March 8, 2024 8:03 am
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

Napataje mawasiliano yako?

 
Posted : March 8, 2024 4:56 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

Unaweza nicheki kwa number ××××××××××

 
Posted : March 8, 2024 5:11 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
Topic starter
 

@gily kwema mkuu nakuu hapo nakuchekije?

 
Posted : March 8, 2024 7:51 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

@kaganda nimeweka number zangu za simu ila.wameweka x ina maana hii site inakuwa kati kati ya wateja au ?

 
Posted : March 8, 2024 9:50 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

Nimewatext wahusika wa hii site lwa email. Mimekiunga baada ya kuelekezwa humu

HHawajaandika utaratibu inakuwa ngumu sana

 
Posted : March 8, 2024 9:51 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

Oh wanafanya biashara badala ya wateja aisee huu utaratibu mbaya sana. Kwa sababu hizo CD ji vitu vya zamani na nahitaki kuzikagua kwa macho. Wangeweka utaratibu wa kujiunga kwa commission. 

Moderator utaratibu wako sio mzuri kwa case kama hizi.  Anauza santuri CD za zamani, mnalipaje badala ya mteja? 

Mnatufukuza kwenye site zenu. Nahitaji kuwasiliana na mmiliki wa hii site kwa simu nimshauri. 

 

 

 
Posted : March 8, 2024 9:55 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

Nimeoata email kutoka kwa wahusika wanadai ili kiweza kuwasiliana direct mmoja wetu anatakiwa kulipia subscriptions 

Hii site ina mfumo tofauti na site tulizozoea

 
Posted : March 8, 2024 10:20 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 

@gily Pole sana kwausumbufu!

 

Kupata huduma za Private kama kutuma na kupokea namba za simu au kufanya mawasiliano ya watu wawili inabadi ulipe kifurushi cha  Subscriptions, Basic Membership gharama yake ni 30,000 kwa mwaka .

Kuna taratibu mihimu za kiusalama amabazo zitafanyika kabla ya kuwaunganisha mnunuzi na muuzaji,kama  utakuwa tayari unaweza kulipia kisha utaunganishwa na muuzaji kwa huduma  hii.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

 
Posted : March 8, 2024 10:37 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

Mwenzangu aliyepost huu uzi labda alipie. Biashara anayouza lazima niithaminishe kwanza kujua uhalali wake na kama zinafaa

Pili, sio kitu ambacho kinauzika mara kwa mara I doubt kama nitakuta tena hapa.

@kaganda lipia wateja wako tuweze ona number zako

 
Posted : March 8, 2024 11:35 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
Topic starter
 

Kwema mkuu habari za asubuhi.

 
Posted : March 9, 2024 6:14 am
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
Topic starter
 

Ninzima mkuu usiofu nikipata nitalipia Usijali.

 
Posted : March 9, 2024 10:18 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

@kaganda unauza sh ngapi? Na unaweza weka picha hapa nione?

Biashara hizi huwezi kufanya bila kuona bidhaa. Hapa wamenieleza kulipia elfu 30 ili niweze kupata mawasiliano yako. 

Weka picha ya santuri ulizonazo na bei. Kama nimezipenda nitakujuza hapa kisha uwalipe wakupe number zangu za simu. Ili tufanye biashara. Kwa sababu unaonekana wewe ni mfanya biashara humu ndani

Nimeelekezwa kuwa umepost huku

Hapo studio ni karibu siko mbali sana. 

 
Posted : March 9, 2024 1:23 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

@kaganda safi kabisa. Malizana na moderators tufanye biashara. Ninumue hizo santuri

 
Posted : March 9, 2024 1:25 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
Topic starter
 

Posted by: @gily

@kaganda unauza sh ngapi? Na unaweza weka picha hapa nione?

Biashara hizi huwezi kufanya bila kuona bidhaa. Hapa wamenieleza kulipia elfu 30 ili niweze kupata mawasiliano yako. 

Weka picha ya santuri ulizonazo na bei. Kama nimezipenda nitakujuza hapa kisha uwalipe wakupe number zangu za simu. Ili tufanye biashara. Kwa sababu unaonekana wewe ni mfanya biashara humu ndani

Nimeelekezwa kuwa umepost huku

Hapo studio ni karibu siko mbali sana. 

Kwani wewe unataka pcs ngapi hapa ziko 12 kila moja utanupa 15,000.

 

 
Posted : March 9, 2024 3:32 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

@kaganda home nina santuri 3000+ 


 
Posted : March 10, 2024 10:07 am
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

Weka picha nione santuri ulizonazo ni za aina gani

 
Posted : March 10, 2024 10:08 am
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

@kaganda nanunua pc nyingi hata ukiwa nazo 100

 
Posted : March 10, 2024 10:09 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
Topic starter
 

@gily mkuu nimefika kiwango cha mwisho cha upload,mzigo uliopo ni 12 tu boss wangu.Ngoja nikilipia nitaweza kupa access zaid ya uploading.

 
Posted : March 10, 2024 12:03 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

@kaganda post moja moja bro

 
Posted : March 10, 2024 1:52 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
Topic starter
 

Sehemu ya attach file hakuna bro hata hiyo moja na tuma je ?

 
Posted : March 10, 2024 2:08 pm
 Gily
(@gily)
Posts: 15
0.000
 

@kaganda hizo na mwanzo mbona uli attach? 

Una attach na hizo nyingine ili nizione. Ukiwa unauza kitu unaziweka kwa sababu miziki yake inatofautiana

 
Posted : March 10, 2024 2:53 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
Topic starter
 
image
 
Posted : March 12, 2024 7:32 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.


Digxam

FREE
VIEW