Nauza Totayota IST kwa kwa 12.5 ml
Bei ya kuuza bei gani?
12ml Tumalize kilakitu.
10ml
Halipi boss wangu.
Weka namba mkuu tuwasliane.
hapa kilalanikiweka namba hazikubali zinajifuta lada ngoja tuwaulize wenyeji wanafanyaje kuwasiliana?
Naitaka hii boss kama bado ipo.
Imetembea km ngapi boss wangu.
@alumando unatafuta IST ya bei gani nimeona unatafuta Toyota IST njoo tuyajenge.
Nahitahi serious buy kama unahitaji chukua Gari
Nitakucheki.