HII HUDUMA NI KWAJILI YA MAKUNDI MAWILI TU.
Trusted Membership 100,000 Package.
(✔️)Nikifurushi cha mwaka ghrama yake ni elfu 00,000 tu,kitakuwezasha kupa huduma zifutazo.
(✔️))Uweza kuona namba za simu kwenye posts mbalimbali.
(✔️))Utaweza kuingia na kuona kuona minada kwenye platform ya Buy and Sell. General Product from Japan.
(✔️))Utaweza kuingia na fungua Threads kwenye jukwaa la South Africa Import Export Online Trade.
(✔️))Utaweza kuingia na fungua Threads kwenye jukwaa la Tanzania Import Export Online Trade.
(✔️))taweza kuingia na kufungua Threads kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Tanzania.
(✔️))taweza kuingia kufungua Threads kuposts na ku Bid minada kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Tanzania .
(✔️))Utweza kushiriki kwenye jukwaa la mida kuanzia yenye thamani kuanzia 1,000 hadi 3ml.
(✔️)taweza kuingia na kufungua Threads kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions South Africa.
(✔️)taweza kuingia kufungua Threads kuposts na ku Bid minada kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions South Africa.
(✔️)Utweza kushiriki kwenye jukwaa la mida kuanzia yenye thamani kuanzia 1,000 hadi 10 ml.
(✔️) Threads and Posts Automatically Approving
(✔️)))taweza kuingia kufungua Threads kuposts na kuweka minada kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Japan.
(✔️)taweza kuingia kufungua Threads kuposts na ku Bid minada kwenye jukwaa la la minada Daily Auctions Japan.
(✔️)Utweza kushiriki kwenye jukwaa la mida kuanzia yenye thamani kuanzia 1,000 hadi 50ml.
(✔️)) kusoma Threads za private.
Jinsi yaku upgrade.
kutoka kwenye kifurushi kimoja na kuhama kwenda kwenye kirushi kingine Nirahisi kufanya hivyo, utalipia kiasi kulingana na bei ya kifurushi,kiasi cha pesa chakwa kitajumlishwa kwenye gharama ya kufurushi kipya kulingana na bei.
Jinsi ya kulipia
Tigo Lipa namba 6866794 Digxam Trades
Bank CRDB AC 015C598771300
kama unahitaji huma hii wasiliana na admin kwa maelezo zaidi au whatspp namba hii +818020717421 au piga +255 712 708245
Ilituweze kupata huduma bora tujiunge na huduma hizi,Nawakaribisha wote,kama unaswali uliza.
Nomekusoma boss admin
Kuna kufurushi cha Service Provider kinapatikanaje?
kama nitakununua niweza kufanya nini nani hapa kwenye platform mzima.
Habari
nililipa kifurushi nashangaa hadi leo sijaunganishwa.
Kunabaadhi ya vitu Nilitaka kununua nikashindwa sijui unanisaidiaje.
Nfano nikilipa hili kifurushi cha 30 inapata access zipi na kitadumu kwa muda gani?
Naomba ninganishwe kwamuda nfupi nione kinavyofanya kazi.
Natamani nijiunge na kifurushi kimoja wapo hapo.
Kwanini mtuuzi hizi vifurushi hii huduma inatakiwa iwe bure hii pesa mnaipeleka wapi?
Kila kukicha mnawaza kulimit access nfano nata kununua vitu mnadani siwezi!
Nikitaka kulipa kifurushi cha kushiriki minada yote nafanyaje au chagua kifurushi gani?
Nikitaka kujitoa inawezekana?
Hivi nikilipa 30,000 nitapata kufanya nini na nini hapa?
Nomba maelekezo jinsi ya kulipia nipate hicho kifurushi cha mwaka.
Pesa nyingi sana hii, kama 5,000 nalipa chap kwa haraka.
Hizi bei za minda ziko juu sana fanya kupunguza kudogo tulipie jamani.
Mbona nikitaka kubid minda sio pakuandika shinda nini?
Kila nikitaka kubid siwezi pafungwa naomba unifungulie
Mbona wenye Rangi tofauti wana bid kwani bei gani kubid wa kuu.
Hapa ukisoma comments wabongo wanapenda vitu vya bure sana 🤣🤣🤣🤣🤣💪
Wale ambao tayari wamejiunga namba msaada ninunulie kitu humo nakutumia hela yako kama mtana uta✅
Kwanini hicho kiasi ambacho tunatanguliza nikinunua bidhaa niongeze hela kidogo tumaliza?@admin