Notifications
Clear all

Wazo la Biashara Mpango wa kuinua wafanya biashara wadogo wa Spare za Magari mpya za Used

6 Posts
6 Users
3 Reactions
253 Views
2
Topic starter
20221221 130407
20221215 131329

Kama wewe ni fanya biashara mdogo mwenye mtaji wa kuanzia 1ml hadi 5ml hii huma inakuhu agiza bila kulipia mzigo wako kisha utalipia mzigo wako ukifika Dar Es Saam.

  1. Kuna Engines 
  2. Kuna milango 
  3. kuna vioo
  4. kuna Taa 
  5. kuna Capets 
  6. Kuna mudguards 
  7. Kuna Viti vya magari 
  8. Kuna body za magari.

Mashari na vigezo kuzingatiwa, 

 

  • Lesen ya Bishara 
  • TIN namba
  • Ofice
  • Trust Membership 

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

1

Hii ni fursa i see.

0

Hii umepigaje hii?

0

Hako kakipengele ka mwisho nishida 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 

0

Safi sana ngoja tuchangamkie fursa hizi 🤗 🤗 🤗 🤗 

0

Je kama ndio nataka kuanza biashara inakuwaje nfano niagize mzigo ukifika ndio nianza biashara.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 


Digxam

FREE
VIEW