Notifications
Clear all

Used Japan PATA GARI BEI RAHISI MINADANI JAPAN.

36 Posts
15 Users
36 Reactions
802 Views
5
Topic starter

AUCTION DIRECT is a useful system which enables its users connect to end buyers  car from  auctions. Through AUCTION DIRECT, you won't be able to view thousands of vehicles available at auctions every day, send your request here  we will assist you every step purchasing your cars .

If this is your first time , please read through this guideline first before continuing, in order to understand the rules and prices that apply.

We can check and translate auction sheets.
We can check rules and regulations of your country, year of manufacture, year of registration, engine size, etc.
We do not supply non-running cars and cars with technical problems.

 

SERVICE CHARGE INCLUDES:
AUCTION FEE / LOCAL TRANSPORT FEE / SHIPPING CHARGE / AUTOCOM JAPAN COMMISSION
ALL OTHER COST INCURRED IN JAPAN (with the exception of inspection fee)

 

GUARANTY

Guaranty is required to make a bid or unlimited Members packages. 

RANK AMOUNT GUARANTY$(¥)
1 ¥40,000,000 $5,000 (¥500,000)
2 ¥10,000,000 $3,000 (¥300,000)
3 ¥7,000,000 $2,000 (¥200,000)
4 ¥4,000,000 $1,000 (¥100,000)

PAYMENT

Upon a successful bid, we will issue your invoice the working day after auction date.
The purchaser pays 100% of the charged amount by the due date.
DUE DATE : 15 WORKING DAYS AFTER AUCTION DATE

Please prove the following details bellow.

example  

  • Company -Toyota
  • The name of Car- Hilux 
  • Manufacture Year -2024
  • Model type Lc126
  • Color -Silver 

 

uss1

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Veronica Victor Veronica Victor October 27, 2024 1:36 pm

@moderator Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.

Credo October 28, 2024 11:25 pm

@moderator Utaratibu ukoje?

14 Answers
3

Kunatofauti gani kununu Gari mtandaoni na kununua Gari mnada?

Jonson John Jonson John March 18, 2024 2:23 pm

@meruly Mtandaoni ukiwa na maanagani boss sijaelewa swali lako vizuri.

3

interested.

Jonson John Jonson John March 18, 2024 2:24 pm

@kashangaki karibu sana.

Jonson John Jonson John March 18, 2024 2:24 pm

@kashangaki Unatafuta gari gani?

Jonson John Jonson John March 18, 2024 2:36 pm

Posted by: @kashangaki

interested.

Karibu sana,

 

3

Bei zikoje?

3
  1. Lazima awe na Trusted Membership. hii ni nini?
Jonson John Jonson John March 18, 2024 2:34 pm

Posted by: @mkorintho

  1. Lazima awe na Trusted Membership. hii ni nini?

Nikweli kifurushi muhimu ukiwanacho tukikubaliana mimi naenda mnadani na nunu.

 

3

Gari mdogo bei rahisi inaweza cost ngapi kufika hadi ushuru.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

3

Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Habari nimejiandaa na pesa hiyo nitapata gari gani nzuri kwa ajili ya matumizi yangu na familia?

 

Jonson John Jonson John March 18, 2024 2:35 pm

Posted by: @majid

Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Habari nimejiandaa na pesa hiyo nitapata gari gani nzuri kwa ajili ya matumizi yangu na familia?

 

Wewe unatafuta Gari gani?

 

3
lend
lend2
lend3
lend4
lend 5
lend8
lend9
lend10

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Father House March 18, 2024 2:45 pm

@jonson-john Hii Rangi hapa anataka nyeusi.

Father House March 18, 2024 3:20 pm

Naomba malezo ya kutosha nfano gari ya mwaka gani uwezo wake zile features zake zote ziweke hapa.

Jonson John Jonson John March 18, 2024 3:25 pm

@father-house

sb
sb2
sb3
sb4
sb5

 

SPECEFICATIONS 

  • ENGINE SIZE 1999 CC
  • YEAR 2015
  • MODEL TYPE  SJ5
  • DOOR 5
  • AUTOMATIC 
  •  SEATS 5
  • FUEL PETROL 
  • COLOUR  CRYSTAL WHITE
  • AC      
  • PUSH START 
  • BACK CAMERA 
  • MILEAGE  63,263

SHIPING .

TYPE OF SHIPPING: RORO 

UNIT: 1

TYPE OF CAR:SUBARU FORESTER SJ5

KIND OF PACKAGES: 440X172X141 

WEIGHT :1340 KGS 

MEASUREMENT: M3 10.671

 

Jonson John Jonson John March 18, 2024 9:40 pm

@father-house  ndio black boss.

Lulu Edward October 27, 2024 7:22 pm

@jonson-john Hili Gari bado lipo?

2

NITAFUTIE LAND ROVER DISCOVERY 3 SE 4WD

2005

DIESEL 

KM KIDOGO 

BAJET YA NGU 25ML KILAKITU HADI USAJILI.

Jonson John Jonson John March 18, 2024 2:01 pm

@mzawa Bajeti yako ikochini sana kwenye hili Gari unataka nitakutafutia Gari zuri kwa gharama za kawaida 35ml grade mzuri.

Jonson John Jonson John March 18, 2024 2:13 pm

@mzawa Utapata Gari mzuri sana kama utaongeza kidogo bajet yako.

2
lend 11

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

2

Nikokwenye kitengo  cha Magari Sinza kwenye mambo ya bond na utoaji wa mizigo bandarini vipi kuna mteja wangu anaulizi Subaru Forester ya 2015 vipi bei zakeje zinaendaje?

Jonson John Jonson John March 18, 2024 2:39 pm

Posted by: @father-house

Nikokwenye kitengo  cha Magari Siza kwenye mambo ya bond na utoaji wa mizigo bandari vipi kuna mteja wangu anaulizi Subaru Forester ya 2015 vipi bei zake zinaendaje?

SUBARU
SUBARU2
SUBARU3

 

Atapa mkuu Subaru ni nyingi.

 

Father House March 18, 2024 2:46 pm

@jonson-john naweza kost ngapi hadi hapa.

Jonson John Jonson John March 18, 2024 9:42 pm

@father-house Bila ushuru au pamoja na ushuru?

1

Nashida na Toyota IST.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

1

Kuweni Serious Guys mpate Magari ya bei rahisi yenye ubora ukilinganisha na makampuni mengine,Hii huduma ukiitumia vizuri utaweza kupa faida ya kubwa sana plaase naomba achana na utani kwenye biashara leteni order tuwahudumie.

1

Nataka kujua bei ya Toyota IST New model 

Mwaka 2009

CC 1490

Seating Capacity 

Bei gani kilakitu hadi ushuru.

 

 

1

Utapata bei zake zinaanzia 25ml kwendelea inategemea na Grade.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Ally Kamwe August 23, 2024 6:13 am

@jonson-john Nionye picha hilo Gari linakuaje na utaratibu wenu ukoje.

Jonson John Jonson John August 23, 2024 6:19 am

@ally-kamwe Picha na kutumia usijali 

utaratibu wetu kama unatumia kifurushi cha unlimited cha mwaka tunakupakilia Gari lako utalipia likifika huko Dar.

 

kama huna hicho kifurushi basi itabidi ilipie nusu bei likifika utamalizia.

 

image
image
image
image
image
image
Ally Kamwe August 23, 2024 6:30 am

@jonson-john Sawa sasa Napataje unlimited bundle kwajili ya kuagiza?

Jonson John Jonson John August 23, 2024 6:34 am

@ally-kamwe piga hii namba 0712708245 upate maelekezo ukiweza Nenda  officeni  kwetu Sinza au ilala Dar.


Digxam

FREE
VIEW