Kama unamzigo wako kutoka Sauth Africa kwenda Tanzania au kutoka Tanzania kwenda Saut Africa unaweza kuwasiliana na sisi utapa bei mzuri ya kusafirisha mzigo wako.
Pia kama unataka kununua bidhaa yoyote kama Gari Mashine mbalimbali kutoka South Africa au Tanzania Zambia DRC Zimbabwe wasiliana nasi tutakupa ushauri jinsi ya kununu ana kusafirisha.
Kama unafanya biasha za kuuza Apple pia tuna Magari ya kubeba apple kutoka Captown kwenda Dar es salaa.Utapata mzigo kwa gharama nafuu sana.
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link
Hii biashara niifanya kwa muda mrefu sana sikupata faida kwasabu nikuwa nafata mwenye nadhani hii huduma ya kuagiza inaweza nishawishi nirudie bishara yangu.
Naomba kujua Ratiba ya kutoka huko inakuaje kila week au kila mwezi?
😍 😍 😍 😍 😍 😍 😀 😀 😀 😀 😀 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hizi ni fursa watanzania tuzichangamkia sana, ngoja nashare hii page na wazee waku beti ni surprise waachana na kubete i see fursa zipo.
Kuna watu wanashinda sana na hizi huduma lakini wako busy kubeti huko uswahili.
@beka Leo umengea kwa hisia kali sana mwangu,ujue nini ugumu wa maisha sanyingine utautaka wenyewe kwani kukishare hii page bei gani bana.
Muda ukisonga watu wanakuja na majibu ya mwaswali magumu.Hii biashara niifanya kwa muda mrefu sana sikupata faida kwasabu nikuwa nafata mwenye nadhani hii huduma ya kuagiza inaweza nishawishi nirudie bishara yangu.
@josephat Watu wa mizigo wacheki kesho asubuhi.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Ombi lako linashughulikiwa kesho mapema nakupa majibu.Nahitaji mtu wakunisaidia kununua bilstein shocks za honda CRV 2010 kutoka duka la imcomex pretoria. Ni Mbili za mbele(22-214096 na 22-214089) na mbili za nyuma (BILSTEIN Part no: 19-214108.) na kuzituma bongo. Naomba msaada
Naomba ufungue Thread inayojitegeme kisha toa maelezo yafuatayo.
- @moderator Habari, Nahitaji safirisha mzigo dar to SA naomba mawasiliano
Baada ya kutoa hizo taarifa nitakupa gharama ya usafirishaji wa mzigo wako pamoja na ushuru.
Hapana@moderator Habari vipi Rwanda mnasafirisha mizigo?
Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link