Notifications
Clear all

Ofaa maalum kwajili ya Paid Members

3 Posts
3 Users
0 Reactions
267 Views
(@Anonymous 1)
Posts: 247
Topic starter
 

Tunatoa ofa kwa wateja wetu wa Paid  muda sio mrefu zitaletwa hapa vigezo na mashariti kuzingatiwa.

1.Mwanachama wa Paid. 

2.Mtu wa kwanza kufika na kuweka comment yake  atakuwa mshindi wetu,hakikisha unakaa online muda wote ili uwe wa kwanza ku comment na kupata zawadi.

3.Aina za  zawadi ni vitu ambavyo vinaweza kumsaidia mtu kuanzisha biashara na kuongeza kipato nfano   kama Simu Tv Camera PS na mashine mbalimbali za kijasiriamali nk.

4.Mshindi atalipi Garama za usafiri  kwa baadhi ya vifaa.

5.Kabla ya kupata mshindi gharama zitawekwe wazi,Maoni na ushauri karibuni sana.

6.Members wasio pungua 100.

Tunakaribisha maoni yako,ungependa tuongeze bidhaa gani kwenye ofaa maalum?

 
Posted : March 5, 2024 3:22 pm
Director Rahimu Producer
(@director-rahimu-producer)
Posts: 19
DIG-PESA
 

Hapa lazima nikae site ya mbele,Mac vs Windows kwa upande Windows inakupa chance ya kutumia cracked software, nilikuwa naangalia bei za autocad, mathcad, mathlab...kibongobongo kwa mwanafunzi hununui naomba utufanyie wapesi.

 
Posted : March 5, 2024 9:57 pm
Allan Jackson
(@allan-jackson)
Posts: 39
DIG-PESA
 

Asante kwa taarifa.

 
Posted : March 12, 2024 10:58 pm

Digxam

FREE
VIEW