March 5, 2024 11:04 am
Topic starter
Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa.
Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1,
Drayer la stima 1,
kioo kikubwa kimoja,
rolas na tray ya rolas.
Bei Tsh. Laki tano (500,000/=) vinauzwa vyote kwa pamoja. (As a package)
Vifaa vipo Morogoro mjini.
Kwa mawasiliano zaidi xxxxxxxxxx.
Weka piche tuone.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Naweka kesho
Vimepata mteja nimeuza leo.