Habara naomba kujua bei ya jumla hizi laptop nata laptop Pcs 10.
GAMING LAPTOP
Dell vostro 15 3500
10TH GENERATIONS
RAM 8
STORAGE SSD 128
CORE i5 ( 2.2Ghz up to 2.7 )
QUAD PROCESSOR
SCREEN DISPLAY 15 INCHES
Hii pcs 10
500GB SSD,RAM 16GB.
Processor: 2.9 GHZ Quad-core intel Core i7
15.4" Apple MacBook Pro 2017
Ngoja naitafuta nakupa bei mkuu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Zipo muda mrefu,nilikupigia simu zaidi ya mala 5 kwa namba ya Japan hukupokea,Mzigo wako uko dar officen unadaiwa storage pesa nyingi.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Naomba mawasiliano niwacheki.
@kalanje Nimekutumia angalia
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Kama hii bei gani?