Notifications
Clear all

Buy an Offer Nauza Hard Disks za Desktop 1TB (1000GB)

3 Posts
3 Users
0 Reactions
336 Views
(@mutalemwa)
Posts: 17
Deposit 200,000
Topic starter
 

Ofa Ofa! Hard Disk (Sata) za Desktopm Mali original, life 100% kama unavyoona nimezipima lakini pia unaweza kuzipima na kutest kabla.

Kila moja ni 1TB na bei Tsh. 55,000 tu kwa moja, ukichukua  mbili bei inapungua. Nipo Dar  napoke pesa kupitia baada ya kutuma.

 
Posted : March 5, 2024 5:46 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 

Weka picha tuone mkuu.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : April 1, 2024 7:02 pm
(@daria)
Posts: 2
Balance 0.000
 

Bado ipo?

 
Posted : April 11, 2024 9:06 pm

Digxam

FREE
VIEW