Jamani nani anakioo cha laptop aina ya Lenovo, Think Pad model X260.
Cha laptop yangu watoto walidondosha so kimepata hitirafu
Kioo hicho kipo ndugu, tucheck kwenye 0628722382
@bigi21 Weka picha ya kioo ni kione kisha weka bei.