Naomba mwenye uzoefu na aina pamoja na bei za machine za kusaga na kukoboa mahindi anisaidie.natanguliza shukrani
Kama bado niambie nikuunganishe na jamaa wanaotengeneza hizi vinu za kusaga na kukoboa.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿