Notifications
Clear all

Car Repair Mashine ya Diagnosis gari zote

4 Posts
3 Users
0 Reactions
160 Views
0
Topic starter

Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro

Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine,

Special functions zaidi ya 30

Active test

Immobilizer and Key Programming

Bidirectional

Ni adpapter tu, unaweza kutumia na simu yako au ukanunua tablet.

Software yake ni 500,000 kwa mwaka(Hapo utapata software za gari zote ndogo, malori yote mpaka ya kichina, mitambo yote, gari za umeme kama Tesla, BYD n.k.)

Bei milioni na nusu ikiwa na software zote ambazo nimezitaja hapo juu kwa mwaka mmoja.

Mashine ni mpya haijaanza kutumika.

Kama uko interested tutumie message whatsapp +xxxxxxxxxx/+xxxxxxxxx

car

 

0

Weka namba mkuu nikupe kazi

0

Unapatikana pande zipi?

0
Topic starter

Niko ilala Shauli moyo.

car2

Digxam

FREE
VIEW