Habari,niko Tanga naplan kuanzisha huduma kama yako vipi nitafute mtaji wa bei gani kwakuanzia?
@mtanga Anzisha tuna rangi zakutosha ukiwa tayari nitumia list ya vitu vyote unahitaji ikiwa pamoja na Rangi tools nitajupa bei ya ushindani kwenye soko.
Nahita Rangi namiliki Geriji ya kupiga rangi ningependa kujua bei za vifaa vyote ulivyo navya yaani price list nitumie.
@king Tuna vifaa vingi sana.Vizuri ungenitajia nikakupa bei
Nitakumia List ya vifaa vyote na hitaji nipate bei.
Karibuni sana!