Notifications
Clear all

Buy an Offer Mashine ya kutengeza juice inauzwa

3 Posts
2 Users
0 Reactions
243 Views
0
Topic starter

✓Ipo Mbeya popote itatumwa
✓3HP electric motor Double phase
✓ 300KG kwa saa
✓ new model YF L80
✓n mpya ××××××××××

2 Answers
0

Weka picha tuione ukubwa wake au kama una video itapendeza zaidi.

Kayungi Topic starter April 11, 2024 7:17 am

Posted by: @jemima

Weka picha tuione ukubwa wake au kama una video itapendeza zaidi.

Nipe namba yako yako ya whatspp nikutumie.

 

0

Sina simu, weka hapa nione kama kweli uko seriously na biashara.


Digxam

FREE
VIEW