Nahitaji kufahamu mahali na bei nzuri ya gaming laptop. Specs ziwe;
PC ya MSI
- Specs i7, ram 32 ddr4, ssd 512, Gen 11
- Invidia gforce RTX 3060 au zaidi
- Graphics card 6gb au zaidi
Hata brands za OMEN na ASUS pia kama zipo.
Posted : March 3, 2024 8:28 pm