DEW DROP FOR LIFE
Dew Drop water is sourced deep underground, drawn from a pristine aquifer untouched by pollution. Naturally filtered through layers of earth by Mother Nature herself, it is further refined using advanced, chemichal-free technology to ensure the purest drinking experiance.
1.WATER VARIETY
2.PREMIUM BOTTLES
3.ORIGINAL BOTTLES
4.PREMIUM BIG BOTTLES
5.DISPENSER BOTTLES
Nikitaka kuwa Agent wa Dew Drop Bukoba nafanyaje?
Last week nikuwa na graduation nilitafuta sana haya maji bila mafanyikio.Mkitaka kufanya biashara za maji kwa mkoa Dar hakikisha mna stares nyingi kila sehemu.
Ndio kwanza nayaina leo mgetoa offa tukayaonja tujua ubora wake.
Mimi niko Kigamboni Kiwani na Duka la maji la jumla kama vipi tuweke namba whatspp hii namba yenu kama ya TTCL siikubali kabisa.
Haya maji naona yana trend ni babari ya ujinii.
Fanya mtupe ofa ya chupa hata moja ya kuonja jamani 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Niko mwaloni Mwanza karibu na Hoteli ya Dakairo mtapita lini kutuletea maji?
Kuna kampuni moja ilipata sana wateja kwasabu ya jina na sio maji bora duh ila muda unakasi sana
Dew Drop mnamaji safi sana ila msivimbe kichwa maisha yakakasi sana.
🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂
Maji ya ukweli sana
Nahitaji chupa 5,000 za Lita 1.5 za maji