Natafuta vifaa vya kuanzisha saloon ya kiume.
Kama uko SouthAfrica naomba bei.
Nitumie list ya hivyo vifaa nikupe bei please.
Watu mliko Dar inakuwaje?
@sniper Unahitaji viti vya saloon?
@sniper Tupe michongo tupo hapa.