@leah-tanzania Hii ni 1KR nakupa Engine complete na control yake kasoro Gearbox kwa 2.2ml.Jumala zipo Engine 5.
@used-parts-barakuda Wewe uko wapi na gharama ya kuituma hadi Mwanza stand ya Nyegezi bei gani?
@leah-tanzania 2,250,000 mzigo unafika.pesa iki appear kwenye wallet naifunga na kuituma jangwani hela usafiri utalipa huko mzigo ukifika.
@used-parts-barakuda Sawa haina shida nakucheki next week.