Notifications
Clear all

Nanunua na kuuza vitu vilivyotumika.kwajili ya matumizi ya ndani na ujenzi wa nyumba

4 Posts
3 Users
1 Reactions
7 Views
Isaya
(@isaya)
Posts: 5
Honorable Member
Topic starter
 

Kama unauza  au kununua vitu vifutavyo vilivyotumika kwa matumia ya ndani .

  • Makochi
  • Viti 
  • Meza
  • Feni
  • Vitanda 
  • Nguo
  • Viatu
  • Magodoro
  • Mitungi ya Gesi 
  • Freji
  • Makabati
  • nk

Kwajili ya ujenzi wa nyuma.

  • Vitasa 
  • nondo
  • Masiki 
  • Matenk
  • Milango
  • nk

Nanunua vitu ambayo vimetumika kama nilivyovitaja hapo juu au unahitaji kimoja wapo kati ya hivyo nimevitaja hapa juu. vitu ambavyo vimetumika na baadhi vimefanyiwa  ukalabati nitakuuzia kwa bei za kawaida,naomba nicheki hapa kwenye comment section taja, 

  • Unahitaji nini
  • Au unauza nini
  • Taja na bei
  • Taja bajeti yako kama unahitaji kununua 
  • Weka picha kama unayo 

Napatikani Dar Sehemu zifutazo .

  • Segerea 
  • Mwananyamala
  • Mbagala
  • Kinondoni 
  • Tandika
  • Mwenge
  • Kimala

 
Posted : November 22, 2025 9:55 am
Jonson25 reacted
(@jonson25)
Posts: 5
Honorable Member
 

Nahida na mtungi wa ges wa Oryx kg 15 unaona?


 
Posted : November 22, 2025 10:00 am
Isaya
(@isaya)
Posts: 5
Honorable Member
Topic starter
 

@jonson25 Hapana sina nikipata  nitaku tag.


 
Posted : November 22, 2025 10:18 am
(@mjasiriamali)
Posts: 28
20K Trade Bond
 

Nahitaji set ya makochi used iko kibaha maili moja.


 
Posted : November 22, 2025 3:55 pm