#Wafanyabiashara wadogo ndani ya nchi wanachama kupitia kwenye soko la pamoja la Africa Mashariki(East Africa Marketplace) unaweza kuonyeshesha kazi zako au bidhaa ambazo unazitengeneza mwenyewe kisha zile hapa utapata  wateja bilakutumia nguvu nyingi.
#Ndugu zangu wajasiriamali watu wengi wanashindwa kuuza bidhaa zao mtandaoni kwasabu ya planforms wanazozitumia,mfao kuna baadhi ya planforms zina watu wengi sana kutokana na kiwango cha juu cha udanganyifu uliko mitandaoni ningumu sana kuuza hata sindano watu wengi wanashindwa kununua bidhaa mitandaoni kwasabu wanashindwa kujua nani mkweli na muongo.
#Kupitia kwenye platforms hizi tumejipanga kuisaidia jamii yetu kufanya biashara mtandaoni au kuongeza mauzo kwenye biashara zetu kwanjia ya mtandaoni.
#Hakikisha una share ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi.Hakikisha unajisajilia na subscribe all new topics itakusaidia kujua na kitu gani kipya kimeweka au nani ka like na ku comment.Â