Notifications
Clear all

Mashine za kunshonea nguo JUKI BROTHER

10 Posts
4 Users
0 Reactions
330 Views
zawadi Kabuka
(@zawadi-kabuka)
Posts: 14
Unlimited Member
Topic starter
 
Hapo kuna mashine za kushonea nguo mashine kali sana naomba mtuwekee hapa tuchague tunashida nazo sana ila zisiwe za bei kubwa sana kwasabu uwezo wetu ni ndogo sana.

Nashida na over lockΒ  ya Juki neye njia nne kwendelea kama zipo naomba niweke hapa.

Posted : March 2, 2024 11:29 pm
(@sakura)
Posts: 17
 
I have more than 100pcs Juki and Brother you are welcome.

Posted : March 3, 2024 5:29 am
Yuki
 Yuki
(@yuki)
Posts: 53
 
Hello!

Posted : March 3, 2024 5:37 am
(@sakura)
Posts: 17
 
what are you looking for?

Posted : April 5, 2024 8:19 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
Posted by: @zawadi-kabuka

Hapo kuna mashine za kushonea nguo mashine kali sana naomba mtuwekee hapa tuchague tunashida nazo sana ila zisiwe za bei kubwa sana kwasabu uwezo wetu ni ndogo sana.

Nashida na over lockΒ  ya Juki neye njia nne kwendelea kama zipo naomba niweke hapa.

Mashine hipi unataka ya JUKI wana mashine nyingi sana.

Β 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ

Posted : April 8, 2024 9:08 am

zawadi Kabuka
(@zawadi-kabuka)
Posts: 14
Unlimited Member
Topic starter
 
Nitafutie OverLock ya Juki bei isizidi laki moja.

Posted : April 8, 2024 9:11 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
@zawadi-kabukaΒ  Sawa ngoja wauzaji waje,kama unaweza badilisha Tangazo lughaΒ  tumia kizungu kuna watu wanazo utapata hapa ziko nyingi sana.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ

Posted : April 8, 2024 9:13 am
zawadi Kabuka
(@zawadi-kabuka)
Posts: 14
Unlimited Member
Topic starter
 
Nataka unitafutie wewe.

Posted : April 8, 2024 9:15 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
@zawadi-kabuka Hapana sina labda ikitokea kwenye mizunguko yangu basi nitaichukua nitakutumia kwanza uangalie.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ

Posted : April 8, 2024 9:16 am
zawadi Kabuka
(@zawadi-kabuka)
Posts: 14
Unlimited Member
Topic starter
 
Ok poa 🙏🏿🙏🏿

Posted : April 8, 2024 9:17 am

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

Digxam

FREE
VIEW