Professional Camera zinatakiwa pamoja na Lensi zake ziwe kubwa zakikisa tuone bei zake.
Taja jina la Camera nfano Nikon 230 na Lens 3259 hivyo.Tunashindwa kutambua unahitaji nini?
@kambunda-mwigusi Kwa Specific tukuhudumie.Taja aina ya Camera na Lens unazozitafuta badala ya kutuma jumla jumla,hii kidogo tutashindwa sa kujua kama uko serious au unatania.