Toyota Towm hiace super Custom ya auto inatakiwa haraka sana.
Habari ndugu
hii Geabox ya Automatic imeshindikana?
Naomba nilipie 80k bro 😎 hela ipo kwenye simu.
Nimepata Geabox inafanyaka kazi vizuri sana.
Control box ya hili Gari inapatika kwa bei gani?
Itapatina naomba uanzishe Thread mpya achana na hii ya zamani
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿