Notifications
Clear all

Katika Platform zote hii nimeukabali sana naendelea kufatilia

2 Posts
2 Users
0 Reactions
50 Views
Cheusi
(@cheusi)
Posts: 13
Honorable Member
Topic starter
 

Nianze kwakusema kwamba mimi ni machinga wa kidigital wa muda mrefu kidogo nauzoefu na mitandao ya kijamii muda mrefu sana.

Hii platform inaendakufanya vizuri kwasabu kuu tano.

1.Account zetu kwenye mitandao ya kijamii kila wakati  muda mwingine bila sababu.

2.Mitandao yenyewe inafungiwa kwasabu za kisiasa.

3.Mitandao imejaa matapeli wengi kuliko wanunuzi.

4.Hakuna mazingira ya kupokea pesa kwa wafanyabiashara zaidi ya kuaminiana na mnunuzi kubaki kumumba  Mungu baada ya kutuma pesa muuzaji asizime simu🤣🤣🤣🤣

5.Hii platform iko chini ya Admin sio kwamba utafanya  vile unata.

ngoja niendele kujifunza kibwa tuishikane mkono kila moja hakikisha una follow kila moja pia share kwenye mitandao ya kijamii watu waongezeke.


 
Posted : October 17, 2025 8:07 am
(@kabandwa)
Posts: 44
30K Trade Bond
 

Mkuu mtaani kugumu sana,ukiweza kuingiza 10k bila kutembea kiromita mingi nijambo Jema sana.

Mtaji wa 200k unatosha kabisa 100 unanunua mzigo Karume 100k Trade Bond ukiuza mzigo wako ukaisha stress kidogo zitapungu maisha yanasonga.


 
Posted : October 17, 2025 8:33 am