Notifications
Clear all

REPAIR Natafuta Engine ya 2NZ complite na Geabox

6 Posts
2 Users
0 Reactions
343 Views
0
Topic starter

Habari.natafuta Engine ya 2NZ pamoja na Geabox yake na sasipetins zake zote zambele.kutoka Japan 

0
20221226 105237
20221226 105230
image

Mashine hii hapa boss. Hii imetoka kwenye hili  Gari sijui wewe unataka kuifunga kwenye Gari gani ili kupe geabox ya body ya Gari lako.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Kandida Topic starter April 9, 2024 5:13 pm

@jonson-john Body yake ni NNP11 Toyota PORTE.

Jonson John Jonson John April 9, 2024 5:17 pm

@kandida Kalipie 2ml nikupakilie kwenye Contained, mzigo unaondoka hapa tarehe 17.

Kandida Topic starter April 9, 2024 5:20 pm

Posted by: @jonson-john

@kandida Kalipie 2ml nikupakilie kwenye Contained, mzigo unaondoka hapa tarehe 17.

Naomba Private kidogo tuonge boss.

0

Hakuna maongezi lipia tukupakilie.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Digxam

FREE
VIEW