Tuko hapa Tandale tunakata magari,kama unahitaji spare yoyote niulize nitakujibu.
Pamoja sana mkuu.
Cool!
i seeĀ
Nahitaji center lock ya mlango wa nyuma wa noah road tourer
@majalago Unataka ya mlango wa nyumba yaani boot sio hii yaku slide?
@majalagoĀ kwenye Gari hili kuna moja ya nyaya yenye njia mbili na njia nne hii ni mihimi sana lazima nijue ya njia ngapi kama unaweza ipige picha nitumir tusije kupishana.