Mkuu kama uko serious unataka hii Engine weka VN piga picha weka kile kibati.
Model code ni GF-UZJ 100W -GNPGK
Engine Code ni 2UZ-FE
Frem no UZJ 100-0109
Hii ipo nahitaji 15ml used Japan,iko Dukani
Slender heads zote mbli zipo nauza 2.5 jumla mbili 5ml
Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻