Madini ni kati ya virutubisho muhimu sana kwa ng'ombe, inapotokea ng'ombe hajapata madini ya kutosha huleta changamoto mbalimbali za kiafya ambazo pia huchangia mabdadiliko ya tabia.
Ng'ombe aliye kosa madini hupenda kula na kulamba vitu mbalimbali ambavyo sio chakula, mfano kula mifuko, kulamba lamba vitu tofautitofauti, lakini zaidi ng'ombe anaweza kuumwa kabisa na kukosa nguvu kwasababu ya upungufu wa madini.
Pia upungufu wa madini hushusha kiwango cha maziwa kwa ng'ombe anae kamuliwa.
Ushauri: Jitahidi kuwapa ng'ombe wako madini kila siku, kama sehemu ya chakula.
Kwa ushauri na elimu zaidi fatilia page zetu kwenye mitandao ya kijamii au fika ofisini tukufundishe mambo ya msingi kuhusu ufugaji.
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, oppositw na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji aina ng'ombe wa maziwa wasiliana nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
mifugotz@gmail.com
YouTube: https://lnkd.in/gJb5rcw
Website link: https://lnkd.in/eYsNq3E
Google location: https://lnkd.in/euiHPCp