AFFILIATE AU DIGITA...
 
Notifications
Clear all

AFFILIATE AU DIGITAL MARKETING NI KAZI INAYOHUSISHA KUTAFUTA MASOKO YA BIDHAA AU HUDUMA KUPITIA "DIGITAL CHANNELS".

1
Topic starter

 

Fursa za ajira ziko mbili;
1. Kujiajiri
Hapa utakuwa freelancer una share bidhaa plaform yetu    kwenye mitandao ya kijamii nakutapa watu ambao watakufanya ulipwe kulingana na idai ya watu utakao wapata au mtu akinunua kitu utapata pasent kulinga na bei ya hizo bidhaa masoko n.k

2. Kuajiriwa
Badaa ya kufanya vizuri katika unaweza kuajiriwa na kuliwa kila mwezi lakini kwa njia ya online itategea na nakujituma kwako kutafuta watu nakuongeza idadi ya watu kwenye account yako ya malipo,kila kazi inachangamoto yake kikubwa ni nia ya kutaka kufanyikisha kile unachokiamini baada ya mwaka moja unakuelewa vizuri haya maneni yangu, 

 

Kuna njia nyingi za kufanya Marketing 

  • Traditional marketing
  • Digital marketing

 

Tofauti yake na traditional marketing ni kwamba ,traditional marketing inatumia traditional methods kama radio, Tv, mabango n.k.

Faida kubwa ya digital marketing ni specific  na data analysis.
Kwamba unatangaza huduma/bidhaa kwa walengwa wako maalumu kupitia channel wanazozitumia zaidi, pia unaweza kupata data zinazoonyesha umefanikiwa au umeshindwa kupitia campaign au maudhui yako. Tofauti na traditional marketing yenyewe ni Generalized na haina data

Digital marketing ina branch kubwa tano(5)
-Search engine optimization & marketing
-Social media management & marketing
-Email marketing
-Content marketing
-Paid advertising (baada ya kupata watu)
Kozi ya digital marketing sio ngumu sana inatakiwa unjanja kupata watu wengi wakutembelea kazi zako.
Kila mtu aweza kuwa  expert digital marketer, kwa changamoto kuhusu digital marketing na jinsi ya kupata masoko kupitia mitandao  zipo lakini ukijifunza na kutulia unatoboa.

TURUDI KWENYE MADA 

Referral URL Generator Enter any URL from this site in the form below to generate a referral link

Niwangapi wamefata maelezezo jinsi ya kupata link yaku share kwenye mitanda ya kijamii kama Facebook, Tweeter, Whatspp, nk.

Ukifungua account yako kuna Affiliate panel au dashboard ndani yake kuna menu zifutazo.

 

(a)Overview

(b)Sales Payment

(c)History

(d)Creative

(e)Edit Profile

(f) Log out.

 

1.Nazunguza hii (d)Creative kama ulikuwa bado naomba kila mtu apate link hii itakusaidia kuweka record ya watu watakatembele website pindi utakapo share kwenye mitanda ya kijamii.

2.Utakuta link kama hii hapa https://digxam.site/  
3.Copy kisha fungua website kwa kutumia hii link.
4.Chagua thread yoyote kwenye website yenye picha kisha share kwenye mitanda ya kijamii 
5.Unaweza kuandika ujumbe wowote wakuvutia watu ili wafungue na kusoma.
6.Kila atakayefungua website  record zote za views wako wate zitaoneka hapo chini kwenye account yako.

 

 

Ukipatapa ujumbe huu naomba  comment hapa chini.

 

 

 

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

2 Answers


Digxam

FREE
VIEW