ENGINE-PETROL 1490cc
SEATS=5
COLOR=white Metallic
TRANSMISSION=automatic
MILEAGE= 120,000
NB: HAINA TATIZO LOLOTE NA MALI INAMATUNZO SANA...
karibuni wadau nauza gari aina ya TOYOTA RAUM OLD kwa bei ya ku tupa.6ml kama unavyo iona hapa kwenye picha.
Bei bado hujasema bosi ounguza niikuunganishe na mteja.
Bei iko juu sana boss wangu.
Kuna ndogo wangu analitaka hili Gari tatizo ni bei i see.
Gari liko wapi mkuu?
Nipe bei ya kuuza.
Hili Gari bado lipo?
fanya 5 nikuunganishe na mteja.
Tatizo ulianza na bei kubwa sana.
Hili Gari bodo lipo?
Naomba ukague hilo Gari Kisha unipe ripo ya ukagazi@Dura
Gari liko mkoa gani/sehemu Gani?Naomba ukague hilo Gari Kisha unipe ripo ya ukagazi@Dura
Unataka kukua nini kwenye Gari ilikupe gharama.
Sawa gharama zangu ni 100k,pia Gari linatakiwa kuletwa Gereji kama mwenyewe atakuwa tayari aseme lini nilifaniyie ukazi.@dura Exactly nataka full report pia kwauzoefu wako unaweza comment ili nipate mwanga kidogo,hili Gari linatakiwa kusafiri kuja Msoma fanya chini juu nipate report.
Fanya kazi hilo Gari nashida nalo nitakupa hiyi laki moja.Sawa gharama zangu ni 100k,pia Gari linatakiwa kuletwa Gereji kama mwenyewe atakuwa tayari aseme lini nilifaniyie ukazi.@dura Exactly nataka full report pia kwauzoefu wako unaweza comment ili nipate mwanga kidogo,hili Gari linatakiwa kusafiri kuja Msoma fanya chini juu nipate report.
Gari bado lipo.
liko Tabata Bima.
Mkaguzi Karibu sana muda wowote.
nicheki kwenye simu au hapa kwenye page pia sio mbaya ili kutunza record vizuri.
Mhh hii Dunia umefika mbali i see kumbe hili jambo liwezekana kufanyika? nfano mwenye Gari na mkaguzi wakikaa meza moja wakampanga mnunuzi inakuwaje?
Huu ndio uzuri wa Digital platform,mambo yanaenda kidigitalli ,ikitokea tatizo kati ya buyer na Service Provider @admin lazimia awajibike, ili kuondoa mashaka ni lazima admin aweke vigezo vyakutosha na kufatlia kila hatua kwa ukaribu ilikulinda platform yetu,baada ya kazi kufanyika buyer kupata mzigo wake pia anatakiwa kuta taarifa kuhusu ubora wa huduma ili kuwasaidia watu wengine wanaofatilia huduma hizi za online.Mhh hii Dunia umefika mbali i see kumbe hili jambo liwezekana kufanyika? nfano mwenye Gari na mkaguzi wakikaa meza moja wakampanga mnunuzi inakuwaje?
Nadhani ni hatua mzuri sana,kuna watu wanatoka mkoani wanakwenda Dar kununua Magari bado wanauziwa Magari mabovu na madalali kwasabu ya uelewa ndogo wa Mambo ya ufundi wa Magari ,hii mifumo inaweza kuongeza imani kwa watumiaji wa platform hii na kuongeza wateja wanataka kunua Magari ya mkononi ,nawakia kila la heri.
Naunga mkono hoja,manadiliko ni muhimu sana.
Hii huduma iko sawa nimeipenda ila bei nikubwa lakimoja kila Gari mmh hapana.
Acha uswahili mkuu acha wivu lakimoja ni nyingi kufanya ukaguzi wa Gari acha utoto acha waelewane bhana fundi ukimbana utasababisha zoezi kuwa ngumu.Hii huduma iko sawa nimeipenda ila bei nikubwa lakimoja kila Gari mmh hapana.
Maoni yangu: kwenye ukaguzi ongezeni na kipengele cha ukaguzi wa umiliki,biashara inatakiwa infanyike kati ya buyer na ower wa chombo ili kupunguza gharama za madalali pia ikiwezekana mkaguzi pia upitie na umiliki wa muzaji na police clearance ya Gari ili kuondoa utata wa kununua Magari ya wizi.
Kwenye biashara za Magari kuna mkanganyiko mkubwa sana watu uelewa wa watu ni mdogo sana wanunuzi wengi uangalia namba mpya wengine wanaka gari ambalo halijabadilshwa rangi na kupulizwa rangi mpya badala kuulizia ubora mtu anakomaa na rangi hizi ni kazi profession kama kazi zingine nadhani hii huduma imeanzishwa muda mzuri sana
Wabongo wajuaji sana ndio maama wanapigwa kirahisi sana.
Wabongo waacheni wapigwe na madalali wajuaji sana.
Hizi platform kama hiii inaeza kuua ajira za madalali I see nimestuka sana.
Naomba report kama umekamilisha.
Nakamilisha
Unaweza kunifanyia kazi ya ukaguzi nje ya website hii?
UKAGUZI WA TOYOTA RAUM.
1.Electrical System
Hii mifumo yote ya umeme inafanya kazi vizuri,
2.Car Brake System
1.Foot brake mbovu maarufu kama hand brake,
2.Brake yenyewe mbovu,
3.Taa ya ABS inawaka.
Huu nfumo ni mbovu
Inatakiwa kubadiliasha vifaa vifutavyo
1. Brake Lining mbele,
2.Bracke pads nyuma,
Gharama ya Matengenezo,
3.Car Suspension System
Shock Absorbers
Hili gari litakaiwa kunadilishwa
1.Shock Absorber kulia mbele.
2.Shock Absorber kulia nyuma.
Gharama zake.
1.Shock Absorber kulia mbele 40,000
2.Shock Absorber kulia nyuma. 60,000
3.Gharama ya kubadilisha hizi Shock Absorber 1 kuazia 15,000 kwendelea inategemea fundi na fundi.
4.Charging System
1.Kuna baring ya alternator ineisha inatakiwa kubadilisha.
2.Charging system inafanya kazi vizuri.
3.Garama yake ni 20,000.
5.Taa za mbele.
Taanza za mbele za hili Gari zinaukungu zinatakiwa kusafishwa.
Gharama ya kusafisha taa ni elfu 50,000
6.Geabox
Inatakiwa kuongeza nusu lita ya oil
Bei yake 10,000.
Jumla ya Matengezo itagharimu 300k.
Baada ya matengezo kufanyika Gari liaweza kusafiri kwende sehemu yoyote bila tatizo lolote.
Kama kuna mtu yoyote wenye kazi ya kukagua Gari lake naomba hiyo kazi.
1.Naomba ujaze hii form kwenye sehemu ya namba ya simu weka namba ya whatspp kuna baadhi ya vitu nitakutumia kwanjia ya simu.
2.Baada ya kuja hii form vizuri
3.tag kwa kuandika ujumbe wowote kuhusu duma unayota kisha tag @dura nitapa ujumbe wako.
4.Kazi ya hii form ukini tag nikiingia kwenye nikiingia kwenye Providers Panel nakutakuta taarifa zako,nitaweza kukupigia simu nakukuahabarisha kinachoendelea.
Tayari nilishajaza kitambo ukiangalia utanipata.
Shikamoo technology Shikamoo Digxam shikamoo members wote.
Jana usiku nimepokea Gari kutoka Dar bila kusafiri kwenda Dar wala kumtumia mtu nayemjua.
Kila nikimsimlia mtu anashindwa kuamini kumbe haya mambo yanawezekana.
Kumbe tunashindwa kufanya mambo mengi kwasababu watu sio wabunifu.
Asante sana bro 😎 nashukuru sana.
Kama kuna mtu mwingena nahitaji huduma hii karibu sana.
Ubunifu mzuri sana.