Toyota Fortuner
Model year:2019-20
Engine:Diesel
Auto
Bajet : 100m
Habari boss,
Hii budget ni manunuzi usafiri na ushuru au ni manunuzi tu?
Kilakitu hadi registration.
Sawa budget ysko ni ndogo manunuzi peke yake yanaweza fika 100ml kwa gari hili.
inaweka ikwa bei gani?
Sijui kama unataka nikutafutie bei lipia Membership ya Trusted Member nitakutafuti,kama kuna seller mwenye nayo tunaomba bei janani.
Kama kuna seller anayo je nitatakiwa kulipia membership pia?
Hapana sababu ya kulipia membership nikwaji ya huduma au kutafuta bei.
Sawa.
Inaweza kuchukua muda gani?
Muda gani kuhusu nini?
Kjua kama kuna mtu anayo.
Siwezi kujua labda baada ya week moja.
Inabidi uvumilivu kidogo.
Ikitokae akawanayo mtu ambaye sio Seller pia utapaswa kulipia membeship kwajili ya ukaguzi.
Sawa.
Naomba ujaze hii form kwenye sehemu ya namba ya simu weka namba ya whatspp.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Hii form ya nini?
Seller kikuhitaji muda wowote hata kama uko offline nirahisi kukupata.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Sawa.
Tayari.
ipo inatakiwa 90ml.
90ml pamoja na ushuru?
Kimya ndugu.
Kimya.
Naomba ulipie trusted Membe kisha twendelee
Ikoje hiyo
Habari kwema jamani