Notifications
Clear all

Urgently Wanted SA 2013 BMW F Series F 800 GS Adventure

0
Topic starter

Naomba mbei ya hii pikipiki kutoka huko South Africa. iko kama hii hapa kwenye picha.

 

image
image
0

inategeama na km hii bei ya manunuzi ni 12ml shillings.

image

 

0
Topic starter

Ongeza picha nione vizuri 

0
image
0
Topic starter

Weka picha ya upande wapini pia.

0
image

Pata Gari Bei Rahisi Kwanjia ya Mnadani  Japan.

0
image
0
image
0
Topic starter

Naomba maelezo yake kikamilifu.

0
image
0

Mileage70,100 km

0

Drive Type1X1

Pata Gari Bei Rahisi Kwanjia ya Mnadani  Japan.

0

Transmission Manual

0

Fuel Petrol

0

Engine Cap798 cc

0
Make: BMW
0
Model: F Series
0
Registration Year:2013

Pata Gari Bei Rahisi Kwanjia ya Mnadani  Japan.

0
Variant:F 800 GS Adventure
0
Colour: Black
0

MOTORBIKE PERFORMANCE

  • Engine Capacity:798 cc
  • Fuel Tank Capacity:24 l
 
  • Fuel Type: Petrol
  • Cylinder Layout:I2
  • Kilowatts:63kW
  • Gears:6
0
Topic starter

Hii inakuja na vazi lake pamoja na Erement original yake?

0

Inabidi ulipie membershipi ya Trusted ya 200k twendelee na mchakato.

Ericana Ericana Topic starter April 30, 2024 9:14 pm

Posted by: @gp-logistics

Inabidi ulipie membershipi ya Trusted ya 200k twendelee na mchakato.

sawa najipanga nitakujulisha

 

0

Kitu cha ukweli sana 

Pata Gari Bei Rahisi Kwanjia ya Mnadani  Japan.

0

Kimya mkuu.

Ericana Ericana Topic starter August 21, 2024 6:57 am

@gp-logistics Parefu kidogo.

0

Hbari mkuu,Nashida na hii mashine.

GP Logistics GP Logistics August 29, 2024 5:12 pm

@chungwa 15ml


Digxam

FREE
VIEW