Search
Close
AI Search
Classic Search
 Search Phrase:
 Search Type:
Advanced search options
 Search in Forums:
 Search in date period:

 Sort Search Results by:

AI Assistant
Notifications
Clear all

Wagunduzi wa Teknolojia Kabla na Baada ya Kufanikiwa Wagunduzi wa Teknolojia mbalimbali kabla ya kuwa maarufu

Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 44
1k Pay Cash
Topic starter
Translate
English
Spanish
French
German
Italian
Portuguese
Russian
Chinese
Japanese
Korean
Arabic
Hindi
Dutch
Polish
Turkish
Vietnamese
Thai
Swedish
Danish
Finnish
Norwegian
Czech
Hungarian
Romanian
Greek
Hebrew
Indonesian
Malay
Ukrainian
Bulgarian
Croatian
Slovak
Slovenian
Serbian
Lithuanian
Latvian
Estonian
 
1. Jeff Bezos, Mgunduzi wa Kampuni ya Amazon Mwaka 1999

 

Habari ya leo mwana teknolojia najua, leo ume pumzika hivyo sita kuchosha kwa makala ndefu na maneno mengi. Makala hii ya leo ina lengo moja kubwa sana kwenye maisha ya kila siku ikiwa ni kuhimiza “kutokata tamaa kabisa kwenye maisha haijalishi uko wapi kwa wakati huu”.

 

Kwa wale ambao hamjui, Jeff Bezos ndio mgunduzi wa kampuni na tovuti ya Amazon.com ambayo hivi karibuni imezindua duka lisilo na muuzaji la Amazon Go. Kwenye picha hapo ni miaka 18 nyuma wakati Jeff akiwa anafanyia kazi wazo lake na kwa sasa jamaa ana utajiri wa dollar za marekani bilioni $118.8 na alishawahi kuwa tajiri wa dunia kwa muda mfupi kwa kumshinda Bill Gates

image

 

 

 


 
Posted : September 26, 2024 3:32 pm