@lux Hii iko sawa Dibro Dibala
Hivi videmu vinajua sana
Napenda hawa wanaume wamevaa nguo nyeusi wanacheza vizuri sana.
Wadada wamevaa nguo nyeusi wanajua sana
Ngoma kali sana
Kula majoka wazee