🌸 Wanawake nchi mzima , huu ni wakati wetu!
Jiunge na Chama cha Safari ya Mafanikio ya Mwanamke kidigital 💪
🤝 Kubadilishana mawazo • Kujifunza • Kukuza biashara
🍽️ Kula na kunywa kwa pamoja
📍 Mwezi wa 6 tunakutana Bukoba Mjini
Usikose nafasi hii muhimu
👉 Chagua mafunzo kwenye list