Notifications
Clear all

New Arrive [Sticky] LOGISTC SERVICES FROM SOUTH AFRICA TO DAR.

Moderator
(@moderator)
Posts: 167
Moderator
Topic starter
 

Kama unamzigo wako kutoka Sauth Africa kwenda Tanzania au kutoka Tanzania kwenda Saut Africa unaweza kuwasiliana na sisi utapa bei mzuri ya kusafirisha mzigo wako.

Pia kama unataka kununua bidhaa yoyote kama Gari Mashine mbalimbali  kutoka South Africa au Tanzania Zambia DRC Zimbabwe wasiliana nasi tutakupa ushauri jinsi ya kununu ana kusafirisha.

 

Kama unafanya biasha za kuuza Apple pia tuna Magari ya kubeba apple kutoka Captown kwenda Dar es salaa.Utapata mzigo kwa gharama nafuu sana.

 

APPLE

 
Posted : March 6, 2024 9:09 am
Sabini, Karanga, Beka and 4 people reacted
Moderator
(@moderator)
Posts: 167
Moderator
Topic starter
 

Hii moja kati ya Magari ya kusafirishia Apple,kama unataka kuanziasha buashara ya uuzaji wa apple wasilina na nasi utape bei ya ounguzo


 
Posted : March 6, 2024 9:23 am
(@nyamwasa)
Posts: 3
1k Pay Cash
 

@moderator Habari vipi Rwanda mnasafirisha mizigo?


 
Posted : March 6, 2024 9:28 am
Kidedea reacted
(@tusiime)
Posts: 9
Honorable Member
 

Apple 🍎 zinauzwaje huko na utaratibu wa kuagiza ukoje.


 
Posted : March 9, 2024 10:47 am
Kidedea reacted
(@diplomatic)
Posts: 12
1K Trade Bond
 

Hapo zinachukua muda gani kufika hapa Tanzania?


 
Posted : March 19, 2024 3:17 pm

like

(@diplomatic)
Posts: 12
1K Trade Bond
 

Naweza kuanzia box ngapi kuweka oder?


 
Posted : March 19, 2024 3:18 pm
Kidedea reacted
(@mtanga)
Posts: 11
1k Pay Cash
 

Hii huduma ni mpyaa?


 
Posted : March 19, 2024 3:21 pm
(@mtanga)
Posts: 11
1k Pay Cash
 

Nfano nikitaka kuagiza pesa natumaje?


 
Posted : March 19, 2024 3:21 pm
Dura
 Dura
(@dura)
Posts: 30
10K Pay Cash
 

Hii biashara niifanya kwa muda mrefu sana sikupata faida kwasabu nikuwa nafata mwenye nadhani hii huduma ya kuagiza inaweza nishawishi nirudie bishara yangu.


 
Posted : March 19, 2024 3:24 pm
Dura
 Dura
(@dura)
Posts: 30
10K Pay Cash
 

Posted by: @mtanga

Hii huduma ni mpyaa?

Ndio nimeisikia leo.

 


 
Posted : March 19, 2024 3:25 pm

Dura
 Dura
(@dura)
Posts: 30
10K Pay Cash
 

Naomba kujua Ratiba ya kutoka huko inakuaje kila week au kila mwezi?


 
Posted : March 19, 2024 3:26 pm
(@joakimu)
Posts: 8
25M Trade Bond
 

Interested 


 
Posted : March 19, 2024 3:28 pm
(@joakimu)
Posts: 8
25M Trade Bond
 

Hizi ni fursa watanzania tuzichangamkia sana, ngoja nashare hii page na wazee waku beti ni surprise waachana na kubete i see fursa zipo. 


 
Posted : March 19, 2024 3:30 pm
Kidedea reacted
Kidedea
(@kidedea)
Posts: 24
1k Pay Cash
 

Posted by: @joakimu

Hizi ni fursa watanzania tuzichangamkia sana, ngoja nashare hii page na wazee waku beti ni surprise waachana na kubete i see fursa zipo. 

😍 😍 😍 😍 😍 😍 😀 😀 😀 😀 😀 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 

 


 
Posted : March 19, 2024 3:34 pm
Kidedea
(@kidedea)
Posts: 24
1k Pay Cash
 

@joakimu mimi napita tu boss wangu.


 
Posted : March 19, 2024 3:34 pm

 Beka
(@beka)
Posts: 17
Honorable Member
 

Hii page dawa yake ni kushare ili iwafike watu wengi.


 
Posted : March 19, 2024 3:37 pm
 Beka
(@beka)
Posts: 17
Honorable Member
 

Kuna watu wanashinda sana na hizi huduma lakini wako busy kubeti huko uswahili.


 
Posted : March 19, 2024 3:38 pm
 Beka
(@beka)
Posts: 17
Honorable Member
 

Twe waungawana kila mtu share kadili ya uwezo wako hizi digital platforms kusambaa na kupata wateja ni dakika moja. 


 
Posted : March 19, 2024 3:40 pm
Karanga reacted
(@karanga)
Posts: 22
1k Pay Cash
 

@beka Leo umengea kwa hisia kali sana mwangu,ujue nini ugumu wa maisha sanyingine utautaka wenyewe kwani kukishare hii page bei gani bana.


 
Posted : March 19, 2024 3:44 pm
(@karanga)
Posts: 22
1k Pay Cash
 

Posted by: @dura

Hii biashara niifanya kwa muda mrefu sana sikupata faida kwasabu nikuwa nafata mwenye nadhani hii huduma ya kuagiza inaweza nishawishi nirudie bishara yangu.

Muda ukisonga watu wanakuja na majibu ya mwaswali magumu.

 


 
Posted : March 19, 2024 3:45 pm

(@rukia)
Posts: 5
1k Pay Cash
 

Nashida na apple 🍏 tunafanyaje


 
Posted : March 20, 2024 9:41 am
(@josephat)
Posts: 1
Honorable Member
 
  • @moderator Habari, Nahitaji safirisha mzigo dar to SA naomba mawasiliano

 
Posted : April 4, 2024 9:55 pm
(@Anonymous 1)
Posts: 245
 

@josephat Watu wa mizigo wacheki kesho asubuhi.


 
Posted : April 4, 2024 10:01 pm
(@cassandra)
Posts: 4
Honorable Member
 

Nashida na apple za kuuza bei?


 
Posted : April 7, 2024 8:36 am
(@ubuntuscofield)
Posts: 50
Honorable Member
 

Nahitaji mtu wakunisaidia kununua bilstein shocks za honda CRV 2010 kutoka duka la imcomex pretoria. Ni Mbili za mbele(22-214096 na 22-214089) na mbili za nyuma (BILSTEIN Part no: 19-214108.)  na kuzituma bongo. Naomba msaada


 
Posted : April 10, 2024 6:06 pm

zoom

GP Logistics
(@gp-logistics)
Posts: 147
100M Trade Bond
 

Posted by: @ubuntuscofield

Nahitaji mtu wakunisaidia kununua bilstein shocks za honda CRV 2010 kutoka duka la imcomex pretoria. Ni Mbili za mbele(22-214096 na 22-214089) na mbili za nyuma (BILSTEIN Part no: 19-214108.)  na kuzituma bongo. Naomba msaada

Ombi lako linashughulikiwa kesho mapema nakupa majibu.

 


 
Posted : April 10, 2024 9:27 pm
GP Logistics
(@gp-logistics)
Posts: 147
100M Trade Bond
 

Posted by: @josephat

  • @moderator Habari, Nahitaji safirisha mzigo dar to SA naomba mawasiliano

Naomba ufungue Thread inayojitegeme kisha toa maelezo yafuatayo.

  • Ainagani ya mzigo.
  • Uzito wa mzigo.
  • Ukubwa wa mzigo.
  • Weka picha ya mzigo.
  • Wapi mzigo ulipo.

Baada ya kutoa hizo  taarifa nitakupa gharama ya usafirishaji wa mzigo wako pamoja na ushuru.

 


 
Posted : April 10, 2024 9:34 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 167
Moderator
Topic starter
 

Posted by: @nyamwasa

@moderator Habari vipi Rwanda mnasafirisha mizigo?

Hapana

 


 
Posted : April 21, 2024 4:04 am