Notifications
Clear all

Vehicle Inspector Tunafanya kazi ya ukaguzi wa Magari kama unataka kununua Gari lililotumika na kufanya.

2 Posts
2 Users
0 Reactions
767 Views
Fundi Magari
(@fundi-magari)
Posts: 22
10K Pay Cash
Topic starter
 

Mama unampango wakununua Gari ambalo limetumika hapa nchini kabla ya kununu Gari wasiliana na sisi

utapata faiada kujua ubora wa Gari unalotaka kulinunua

Utapa dhamani ya Gari 

Ujua vifaa gani vyakubadilisha na bei zake kabla ya kununu.

Tunapatika ialala shauli moyo.


 
Posted : March 12, 2024 9:16 pm
(@mutalemwa)
Posts: 17
1k Pay Cash
 

Safi ubunifu ni muhimu


 
Posted : March 12, 2024 11:31 pm